Posts

Showing posts from December, 2024

KATIBU HAMASA WILAYA YA TARIME C.D.E PANJU ANUSILIKA KUSHAMBULIWA NA GENGE LA VIJANA

Image
  Pichani ni katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Wilaya Ya Tarime C.D.E THOMAS SULLEIMAN  Katibu hamasa na Chipukizi Wilaya Ya Tarime C.D.E THOMAS SULLEIMAN (Panju) anusulika kushambuliwa na genge la vijana  Katibu Wa Uhamasishaji na Chipukizi Wilaya Ya Tarime ameieleza MBC MEDIA undani wa tukio hilo  Amesema Mimi nilikuwa nimekaa sehemu na jamaa zangu sehemu baada ya kupata chakula tumekaa sehemu hiyo tunabadilishana na mawazo lakini baada ya muda kidogo nimeshangaa wanafika vijana na kuanza kunishambulia kwa maneno hata hivyo walikuwepo mashuhuda kama vile bwana Boniphace ambaye pia ni Mjumbe wa mkutano mkuu wa vijana Wilaya  Pichani ni Mr Boniphace, mjumbe wa mkutano mkuu wa vijana Wilaya  Ameshangazwa na tukio hilo ambalo kimsingi amelaani tukio hilo. Hata hivyo MBC MEDIA haikuishia hapo imemutafuta bwana boniphace  Ambaye pia ameieleza MBC MEDIA kuwa  Hili tukio la leo sio la kufurahisha maana pia tayari tumesha maliza uchaguzi ndani ya chama...