KATIBU HAMASA WILAYA YA TARIME C.D.E PANJU ANUSILIKA KUSHAMBULIWA NA GENGE LA VIJANA
Pichani ni katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Wilaya Ya Tarime C.D.E THOMAS SULLEIMAN Katibu hamasa na Chipukizi Wilaya Ya Tarime C.D.E THOMAS SULLEIMAN (Panju) anusulika kushambuliwa na genge la vijana Katibu Wa Uhamasishaji na Chipukizi Wilaya Ya Tarime ameieleza MBC MEDIA undani wa tukio hilo Amesema Mimi nilikuwa nimekaa sehemu na jamaa zangu sehemu baada ya kupata chakula tumekaa sehemu hiyo tunabadilishana na mawazo lakini baada ya muda kidogo nimeshangaa wanafika vijana na kuanza kunishambulia kwa maneno hata hivyo walikuwepo mashuhuda kama vile bwana Boniphace ambaye pia ni Mjumbe wa mkutano mkuu wa vijana Wilaya Pichani ni Mr Boniphace, mjumbe wa mkutano mkuu wa vijana Wilaya Ameshangazwa na tukio hilo ambalo kimsingi amelaani tukio hilo. Hata hivyo MBC MEDIA haikuishia hapo imemutafuta bwana boniphace Ambaye pia ameieleza MBC MEDIA kuwa Hili tukio la leo sio la kufurahisha maana pia tayari tumesha maliza uchaguzi ndani ya chama...