KATIBU HAMASA WILAYA YA TARIME C.D.E PANJU ANUSILIKA KUSHAMBULIWA NA GENGE LA VIJANA
Pichani ni katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Wilaya Ya Tarime C.D.E THOMAS SULLEIMAN
Katibu hamasa na Chipukizi Wilaya Ya Tarime C.D.E THOMAS SULLEIMAN (Panju) anusulika kushambuliwa na genge la vijana
Katibu Wa Uhamasishaji na Chipukizi Wilaya Ya Tarime ameieleza MBC MEDIA undani wa tukio hilo
Amesema Mimi nilikuwa nimekaa sehemu na jamaa zangu sehemu baada ya kupata chakula tumekaa sehemu hiyo tunabadilishana na mawazo lakini baada ya muda kidogo nimeshangaa wanafika vijana na kuanza kunishambulia kwa maneno hata hivyo walikuwepo mashuhuda kama vile bwana Boniphace ambaye pia ni Mjumbe wa mkutano mkuu wa vijana Wilaya
Pichani ni Mr Boniphace, mjumbe wa mkutano mkuu wa vijana WilayaAmeshangazwa na tukio hilo ambalo kimsingi amelaani tukio hilo.
Hata hivyo MBC MEDIA haikuishia hapo imemutafuta bwana boniphace
Ambaye pia ameieleza MBC MEDIA kuwa
Hili tukio la leo sio la kufurahisha maana pia tayari tumesha maliza uchaguzi ndani ya chama hivyo niwaombe viongozi wa chama waingilie kati jambo hili kumaliza swala hili kwani halina afya kwa chama chetu
Hata hivyo Vijana hao hawakuishia hapo wamempigia simu mwandishi wa MBC MEDIA na kumtolea maneno ya vitisho


Comments
Post a Comment