OROMBE CUP YAMALIZIKA SUSUNI ,WAISHUKURU SOYA ONE LIMITED KWA KUWA CHACHU YA MAENDELEO KWENYE JAMII
Na Ernest Makanya mashindano ya Orombe Cup yaliyokuwa yakifanyika katika uwanja wa Shule ya msingi Susuni mashindano hayo yamemalizika Jana Agositi 28,2022 ambapo mshindi wa kwanza alipata zawadi ya shilingi Laki tatu huku mshindi wa pili. alipata laki mbili Akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi hizo Afisa Tarafa Ndg Gradnes mtandu kwa Niaba ya Mkuu wa Wilaya Ya tarime Meja Edward Gowere amepongeza Wananchi Kujitokeza kwa wingi kwenye Fainal za michuano hiyo alisema mashindano hayo yamekuwa chachu katika Tarafa Ya Ichungu kwa kuhamasisha vijana kuto Jihusisha na mambo yanaweza kuharibu amani Gradnes ametoa wito kwa wakazi wa Wilaya Tarime kuwa wazalendo Pia Kujitokeza kwa Wingi Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Akizungumzia Mafanikio ya Michuano hiyo Diwani Viti MaalumTarafayaIchungu Mhe Josephine Orombe,amesema kuwa Alishawishika zaidi Kuwekeza kwenye michezo kwani michezo inawaleta watu pamoja hata hivyo Mhe Orombe Ameishukuru Soya...