Posts

KATIBU HAMASA WILAYA YA TARIME C.D.E PANJU ANUSILIKA KUSHAMBULIWA NA GENGE LA VIJANA

Image
  Pichani ni katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Wilaya Ya Tarime C.D.E THOMAS SULLEIMAN  Katibu hamasa na Chipukizi Wilaya Ya Tarime C.D.E THOMAS SULLEIMAN (Panju) anusulika kushambuliwa na genge la vijana  Katibu Wa Uhamasishaji na Chipukizi Wilaya Ya Tarime ameieleza MBC MEDIA undani wa tukio hilo  Amesema Mimi nilikuwa nimekaa sehemu na jamaa zangu sehemu baada ya kupata chakula tumekaa sehemu hiyo tunabadilishana na mawazo lakini baada ya muda kidogo nimeshangaa wanafika vijana na kuanza kunishambulia kwa maneno hata hivyo walikuwepo mashuhuda kama vile bwana Boniphace ambaye pia ni Mjumbe wa mkutano mkuu wa vijana Wilaya  Pichani ni Mr Boniphace, mjumbe wa mkutano mkuu wa vijana Wilaya  Ameshangazwa na tukio hilo ambalo kimsingi amelaani tukio hilo. Hata hivyo MBC MEDIA haikuishia hapo imemutafuta bwana boniphace  Ambaye pia ameieleza MBC MEDIA kuwa  Hili tukio la leo sio la kufurahisha maana pia tayari tumesha maliza uchaguzi ndani ya chama...

MBUNGE VITI MAALUM GHATI CHOMETE NA MBARAZA MARIAM SAGINI WAAHIDI KUONGEZA WANAFUNZI CHUO CHA LAKE VICTORIA DISABILITY VOCATIONAL TRAINING CENTRE

Image
Mbunge Viti Maalumu Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Chomete ameahidi kushirikiana na Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa Ndg. Mariam Sagini kuhamasisha na kukitangaza Chuo cha Lake Victoria Disability Vocational Training Centre ili wanafunzi waongezeke kutokana na uwezo wake wa kubeba wanafunzi zaidi 600 ila mpaka sasa kina wanafunzi 65. Akizungumza wakati alipomwakilisha Mgeni Rasmi Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa Ndg. Mariam Sagini katika mahafali ya nane yaliyofanyika chuoni hapo Novemba 22, 2024 katika Kijiji cha Nyabange, Kata ya Nyankanga, Wilaya ya Butiama Mhe. Chomete amesema chuo hicho kina mchango mkubwa katika kuwapa vijana wenye ulemavu na wasio na ulemavu fursa ya kujifunza na kujiendeleza. "Habari njema ni kwamba chuo hiki pamoja na kutoa huduma ya elimu ya ufundi nimeambiwa mnatoa huduma ya utengamao kwa watu wenye ulemavu kama mazoezi tiba, kazi tiba, utengenezaji wa viungo bandia, vifaa saidizi kama baiskeli za watu wenye ulemavu, magongo ya kutembelea, viti vya kona nk. Hii in...

MKUU WA WILAYA YA TARIME MEJA GOWELE AKUTANA NA MAAFISA USAFIRISHAJI ATETA NAO

Image
 Mkuu wa wilaya ya Tarime akutana na maafisa usafirishaji (bodaboda)ATETA NAO na kusikiliza changamoto zao wanazo kum     Mkuu wa wilaya ya Tarime Meja Gowele   ana nazo katika shuguli zao ambapo ameandamana na viongozi mbali mbali wa usalama barabarani na kutoa Elimu ya usalama barabarani hiyo yote ikitokana na baadhi ya vikwazo wanavyo kutana navyo madereva bodaboda wakati WAKIWA katika majukumu Yao ya Kila siku ambapo wame Lalamika kukamatwa na na asikali wa usalama barabarani na changamoto nyingi ambazo mkuu wa wilaya amekuja kugundua ni ukosefu wa Elimu ya barabarani hivyo ameweza kutoa maagizo kwa uongozi wa maafisa hao kutengeneza vikuti ili waweze kupatiwa Elimu ya barabarani ambayo mwanzo ilikuwa inatolewa kwa gharama isiyo chini ya 200,000/= laki mbili kwa mujibu wa katibu wa maafisa hao lakini kutokana na ombi lao kwa mkuu wa wilaya ameweza kutoa Tamko kuwa maafisa hao wasikamatwe kwanza wapate Elimu kwa gharama ya Tsh 20,000/= Elfu ishirini tu, itakayo sa...

JACK KANGOYE LENGO KUU NI KUHAKIKISHA CCM INASHINDA KWA ASILIMIA KUBWA KATA ZOTE TUNAZITAKA

Image
TAZAMA HAMOJIANO YOTE HAPA Nimekuja kushirikiana na wenzangu uchaguzi serikali za Mitaa ili kusaidia chama chetu Cha ccm kuweza kuendelea kushika dolla niligombea 2020 ila sikufanikiwa ila uvumilivu umenifanya mpaka Leo nipo hapa na viongozi wameona nimekomaa kisiasa na ndio maana mpaka sasa nipo hapa kushirikiana na chama maana uchaguzi ni gharama ko nimekuja ili kuweza kuja kutoa sapoti ya aina yeyote itakayo tia nguvu na kwa bahati nzuri Ccm Ina watu wanaojielewa na tukishirikiana naimani tutaenda kukishindisha chama kwa asilimia kubwa maana lengo letu chama cha mapinduzi Tarime ni kushinda Kata zote na Mimi kama Mimi nimesha wezesha na ntazidi Kuwezesha mpaka sasa nimesha fikia mabalozi na kuweza kuwatia shime ili chama cha mapinduzi kishinde kwa asilimia kubwa lakini pia wenyeviti unajua wanawatu wanao wasaidia kampeni ila pia nimeweza kuwafikia na kufanya jambo la kuwashika mkono Mimi kama jack kangoye nimewafikia wenyeviti wote na mabalozi wote maana lengo letu sio kuchanga tu i...

Rais Samia aagiza majengo yote Kariakoo kukaguliwa; waliofariki wafikia 13

Image
Chanzo cha picha,M  MBC mEDIA Saa 5 zilizopita Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kuundwa kwa timu ya kukagua hali ya kimuundo ya majengo yote jijini Dar es Salaam na hasa katika eneo la Kariakoo lenye shughuli nyingi,  kufuatia jengo la ghorofa nne kuporomoka mapema Jumamosi. Rais alisema Jumapili kuwa hadi sasa watu 13 wameuawa,  huku wengine 84 wakijeruhiwa. Katika ujumbe wa video uliorekodiwa siku ya Jumapili, Rais Hassan, ambaye kwa sasa yuko nchini Brazil kwa Mkutano wa Viongozi wa G20 mjini Rio de Janeiro, aliuhakikishia umma kwamba shughuli ya uokoaji inayoendelea inaendelea vyema. Alieleza kuwa serikali iliweka kipaumbele katika kuokoa watu waliokwama chini ya vifusi, jambo ambalo lilisababisha kuchelewa kwa uchunguzi wa chanzo cha kuporomoka kwa jengo hilo. “Baada ya tukio hili la kusikitisha, namuagiza Waziri Mkuu aongoze timu ya wakaguzi wa majengo kuendelea na ukaguzi wa kina wa majengo yote ya eneo la Kariakoo, ili tuweze kupata tathmini ya kina ya hali yake ...

BINTI CCM TARIME WAGAWA TAULO ZA KIKE

Image
  Pichani ni Ndugu Janeth Mtiba akiwa na wanafunzi wa shule za sekondari. Ziara ya Binti Ccm Tarime ikiongonzwa na Kiongozi wa Binti Ccm Ndugu Janeth Mtiba imeweza kufika katika ukumbi wa shule ya sekondari Tarime ambapo wamekutana na wanafunzi wa shule za sekondari Iganana,Bomani ambapo wamegawa Taulo za kike Zenye Thamani Ya Tsh 2050,000/= (Million Mbili na Nusu) na Tarime sekondari Ambapo Mgeni Rasimi Ni Mbunge Viti Maalum mkoa wa Mara Ghati Chomete. Pichani ni Mheshimiwa Mb Ghati Chomete Amezungumza na Wanafunzi Hao na kuwaasa Waweze kusoma kwa Bidii na kukataa Vishawishi vitakavyo sababisha kutofikia ndoto zao za kimasomo ambapo ameongea na kutoa Elimu Juu ya Ukatili wa kijinsia na Elimu juu ya hedhi salama lakini pia Ametoa zawadi kwa shule hizo kwa kuwapatia Viroba Vya Mchele Kg 50 kwa Kila shule ambapo jumla ni Kg 150 kwa Shule 3 pia ameweza kutoa mipira ya  ya mchezo wa miguu katika shule ya Tarime sekondari na kuhaaidi kuwapa zawadi zaidi kama wakifanya Vizuri zaidi ...

KONGAMANO LA KIMATAIFA LA KISWAHILI HAVANA LAKAMILIKA KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Image
Humphrey Polepole, Balozi na Mkuu wa Kituo Havana Awali ya yote na kwa kipekee tunamshukuru Mungu wetu wa Mbinguni, ambaye kwa Neema na Rehema zake ametupa kibali kufanikisha tukio hili kubwa lenye tija, faida, manufaa na maslahi mapana kwa Afrika, Lugha ya Kiswahili na wote wenye mapenzi mema na kiswahili kutoka Tanzania na Nje ya Tanzania 🇹🇿  Pili tunamshukuru sana Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿 kwa Maelekezo yake, kukubali na kuwezesha Kongamano la Kimataifa la Kiswahili lifanyike hapa Havana Nchini Cuba  Tatu, shukrani nyingi ziende kwa Serikali ya Jamhuri ya Cuba 🇨🇺 kwa kuona umuhimu, kuwapendeza na kusaidia Kongamano hili tuliandae pamoja katika nchi yao nzuri na rafiki yetu wa kudumu Cuba.  Nne, Sina maneno ya kutosha kwa washiriki wa Kongamano la Kimataifa la Kiswahili ambao wamesafiri umbali mrefu na kwa gharama kubwa kuja kushiriki nasi katika tukio hili la kihistoria na ambalo limeiandika kipekee nafasi ya T...