MKUU WA WILAYA YA TARIME MEJA GOWELE AKUTANA NA MAAFISA USAFIRISHAJI ATETA NAO
Mkuu wa wilaya ya Tarime akutana na maafisa usafirishaji (bodaboda)ATETA NAO na kusikiliza changamoto zao wanazo kum
Mkuu wa wilaya ya Tarime Meja Goweleana nazo katika shuguli zao ambapo ameandamana na viongozi mbali mbali wa usalama barabarani na kutoa Elimu ya usalama barabarani hiyo yote ikitokana na baadhi ya vikwazo wanavyo kutana navyo madereva bodaboda wakati WAKIWA katika majukumu Yao ya Kila siku ambapo wame
Lalamika kukamatwa na na asikali wa usalama barabarani na changamoto nyingi ambazo mkuu wa wilaya amekuja kugundua ni ukosefu wa Elimu ya barabarani hivyo ameweza kutoa maagizo kwa uongozi wa maafisa hao kutengeneza vikuti ili waweze kupatiwa Elimu ya barabarani ambayo mwanzo ilikuwa inatolewa kwa gharama isiyo chini ya 200,000/= laki mbili kwa mujibu wa katibu wa maafisa hao lakini kutokana na ombi lao kwa mkuu wa wilaya ameweza kutoa Tamko kuwa maafisa hao wasikamatwe kwanza wapate Elimu kwa gharama ya Tsh 20,000/= Elfu ishirini tu, itakayo saidia sana katika kupunguza makosa yasiyokuwa ya lazima barabaniSHUKRANI KWA WALIO DHAMINI;
Mkuu wa wilaya amewashukuru wadhamini wote walio weza kushika mkono kikao hicho ambao ni PKM na SOYA ONE LIMITED pia amempongeza soya one limited kuendelea kuwa pamoja na jamii na amewaomba kuendelea kuwa na moyo huohuo na pia amewapongeza viongozi wote wa maafisa usafirishaji na kuwaomba kuendelea kuunga mkono juhudi za RAIS wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassani kwani anafanya KAZI kubwa sana na kuwapambania vijana na Taifa kwa Ujumla.
JE UNAHABARI NA UNATAKA TUICHAPISHE HAPA TUTAFTE KUPITIA GMAIL moonglobal255@gmail.com AU PIGA +255656114499






Comments
Post a Comment