MATOKEO ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba Mwaka 2024 yamedhihirisha ubora wa Shule ya Royal Family School

 



MATOKEO ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba Mwaka 2024 yamedhihirisha ubora wa Shule ya  Royal Family School (pichani juu),iliyopo Geita Mjini



Shule hiyo ambayo inajulikana kwa jina la  Royal Family School iling’ara katika matokeo hayo, chini ya uongozi wa Royal Family School


Royal Family School ambayo ni shule ya kutwa na bweni, ilipata ufaulu wa juu 
Sana

WAZAZI na walezi leteni watoto wenu wapate elimu bora katika mazingira ya kuvutia na wezeshi ya kujifunza kwa weledi hapa Royal Family School.”


“Hakuna mzazi aliyejutia kumleta mtoto wake kusoma katika shule hii. Tuna kila sababu ya kuwathibitishia Watanzania kuwa shule yetu ni mkombozi wa elimu bora,” anasema.

Royol Family School, ni shule ya kisasa ya bweni na kutwa kwa wanafunzi

Ni mradi mkubwa wa kijamii uliofanikishwa na mwekezaji mzawa

Comments

Popular posts from this blog

GWAJIMA AACHE KUCHEZEA AMANI YA TAIFA, NA MHE. RAIS SAMIA AANGALIE JICHO LA CHINI YA KIVULI HIKI

MKURUGENZI WA SOYA ONE LIMITED AWASISITIZA WAUMINI WA EAGT RONSOTI TARIME MJINI KUILINDA AMANI; AFANIKISHA UPATIKANAJI WA MCHANGO WA MILIONI 12, ACHANGIA MILIONI 8 NA ASINDIKIZWA KWA MILIONI 5

SOYA ONE LIMITED YAENDELEA KUNG’ARA KATIKA UDHAMINI WA ELIMU NA JAMII TARIME