TARIME IINAZIDI KUKUA KWA KASI CHANGAMOTO NI BARABARA TU
Mji wa tarime unazidi kukua kwa kasi sana kwakua ndio halmashauri inayo ingiza mapato mengi kwani inachangiwa na kuwa mpakati mwa kenya na tanzania leo VOT NEWS NA MBC MEDIA imepiga stori n
PICHA YA HALMASHAULI YA TARIME MJI
a wananchi katika mji huu wa tarime wameweza kuongea mengi mazuri kwakua Rais wa Tanzania Dk samia suluhu hassani anafanya makubwa tangu uongozi wake changamoto ilikuwa ni maji ila kwa sasa maji yapo yakutosha na wanashuru kwa maendeleo haya sekta ya majiPICHA YA BIBI AKITEKA MAJI KWA TABASAMU
wananchi hao wameenda mbali zaidi na kusema changamoto yao iliyo baki katika mji wa tarime ni barabara tu kwani barabara za tarime mjini zimekuwa mbovu kupitika hivyo wananchi hao wameomba serikali kuwaboreshea miundo mbinu ya barabara hususa ni barabara inayo enda halmasgauli ya Tarime vijijini kwani wanapitia changamoto sana kuwai katika biashara zao za kila siku zinazo wawezesha kulipa kodi na kutunza familia zao

Comments
Post a Comment