MATIKO FOUNDATION YATOA GODORO KWA MTOTO MWENYE ULEMAVU
MATIKO FOUNDATION chini ya mkurugenzi wake mhe. Mbunge wa Viti Maalum Esther Matiko ikiwa ni siku ya Tarehe 03 October 2024 ameweza kufika katika Jimbo la Tarime vijijini linalo ongonzwa na Mheshimiwa Mwita Waitara katika Kijiji cha Kangariani
na kuweza kumwona mtoto mwenye ulemavu na kumpatia godoro na kushea tabasamu nae kwa chochote alicho kuwa nacho.,mzazi wa mtoto huyo ameweza kushukuru kwa mchango na utu unaofanywa na mkurugenzi wa Matiko MHE. ESTHER MATIKO Aisha mzazi huyo ameipongeza Matiko foundation na kuwaomba wawe na moyo huo huo wa kusaidia jamii.

Comments
Post a Comment