WANANCHI JIANDIKISHENI KWENYE DAFTARI LA MKAZI

 Mbunge Wa Viti Maalum Mkoa wa Mara *Mhe Agnes Mathew Marwa* amewataka wananchi Wa Tarime Na  Tanzania Kiujumla  kujiandikisha katika Daftari la mkaazi. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni mhimu, tujiandikishe kwenye Orodha ya Mpiga kura wa Serikali za Mitaa  katika Daftari la mkaazi liloanza Tarehe 11 - 20/10/2024  na ili kuweza kushiriki Uchaguzi. Wananchi Wote twende kujiandikisha wingi ili CCM ipate wapiga wa kutosha kwani DKT SAMIA SULUHU HASSAN NI FURAHA YETU 2025

Naomba wananchi  katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Mkaazi ili kuweza kupiga kura 27 November 2024


Wananchi  wote nchini uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 ni uchaguzi mhimu sana kwani katika ngazi za vijiji, vitongoji na mitaa ndiko mipango ya wananchi hupangwa, hivyo wananchi  tujiandikishe wengi katika vituo vya karibu au maeneo karibu na Unako Fanyia Biashara zako  ili kuweza kupata nafasi ya kushiriki kupiga kura na kuchagua viongozi


KAMA UNA HABARI NA UNATAKA TUICHAPISHE HAPA TUTAFTE KUPITIA GMAIL moonglobal255@gmail.com WhatsApp +255656114499

Comments

Popular posts from this blog

GWAJIMA AACHE KUCHEZEA AMANI YA TAIFA, NA MHE. RAIS SAMIA AANGALIE JICHO LA CHINI YA KIVULI HIKI

MKURUGENZI WA SOYA ONE LIMITED AWASISITIZA WAUMINI WA EAGT RONSOTI TARIME MJINI KUILINDA AMANI; AFANIKISHA UPATIKANAJI WA MCHANGO WA MILIONI 12, ACHANGIA MILIONI 8 NA ASINDIKIZWA KWA MILIONI 5

SOYA ONE LIMITED YAENDELEA KUNG’ARA KATIKA UDHAMINI WA ELIMU NA JAMII TARIME