BARABARA YA NYAMWAGA ROAD YAGEUKA KERO
Barabara ya Nyamwaga Road Yageuka Kero Kwa Watumiaji
PICHA YA BARABARA IKIONYESHA UBOVU WA BARABARA HIYO
Barabara hii kama unavyo iona hapa imekuwa na mashimo makubwa na Kila kukicha inasababisha ajali maana hapa bodaboda anaweza kuwa anakwepa shimo anaenda kwenye gari ni kusema kwamba hapa serikali haioni tunaiomba serikali Yetu sikivu Ione na hii barabara ndani ya hii wiki tumewapoteza vijana wetu hii yote ni kwa sababu ya ubovu wa barabara hii barabara hii inazidiwa hata na zile barabara za uchochoroni imekuwa na mashimo mengi sana "Amesema Mwananchi Wakati Akizungumuza na Mwandishi Wetu "
Kwa udani wa habari hii piga SIMU 0656114499


Comments
Post a Comment